Bajeti kwaajili ya Kunde
Kabla ya kuanza
Ufahamu ni nguvu, tume kusanya utajiri wa habari kukusaidia kufanya maamuzi bora hata unapoanza kilimo chako! Tumia kiunganishi hapo chini kujifunza mengi kuhusu bidha ya kunde.
Unapopanda nyakati za mvua, unaweza kutarajia kuvuna takriban kilo 120 kila wiki kutoka kwa ekari ΒΌ ya kunde. Uvunaji utaendelea kwa takriban miezi 3. Baada ya kufurahia miezi 3-4 ya mavuno ya kunde, ni wazo nzuri kuacha shamba bila mimea kwa takriban miezi 2 kabla ya kujiandaa kwa awamu inayofuata ya mazao.
Hii inatoa jumla ya kilo 1440 kwa kila mzunguko wa mavuno ya kunde chini ya kilimo cha kutegemea mvua.
Anzisha bajeti yako