Bajeti kwaajili ya Uzalishaji wa kuku wa kienyeji walioboreshwa
Kabla ya kuanza
Ufahamu ni nguvu, tume kusanya utajiri wa habari kukusaidia kufanya maamuzi bora hata unapoanza kilimo chako! Tumia kiunganishi hapo chini kujifunza mengi kuhusu bidha ya uzalishaji wa kuku wa kienyeji walioboreshwa.
Kwa soko bora ambapo kununua kienyeji kwa zaidi ya Ksh. 600, mkulima anaweza kupata faida zaidi.
Anzisha bajeti yako