Bajeti kwaajili ya Sukuma wiki

Kabla ya kuanza

Kale

Ufahamu ni nguvu, tume kusanya utajiri wa habari kukusaidia kufanya maamuzi bora hata unapoanza kilimo chako! Tumia kiunganishi hapo chini kujifunza mengi kuhusu bidha ya sukuma wiki.

Kwa kilimo cha kutegemea mvua, tunatarajia kuvuna takriban kilo 250 kwa wiki katika ekari ΒΌ ya Sukuma Wiki. Utaendelea kuvuna kila wiki kwa takribani miezi 4 (mavuno 16 kwa kila mzunguko) ukitoa mavuno ya kilo 2560. Tunakadiria kupungua kwa uzito kwa 30% baada ya usindikaji wa Sukuma Wiki (kutoka kilo 2560 hadi 1792 za mboga zilizochakatwa kwa kila mzunguko. Baada ya kuvuna Sukuma Wiki kwa miezi 3-6, unaweza kuacha Shamba wazi kwa miezi 2 unapojiandaa kwa mzunguko wa mazao unaofuata.

Anzisha bajeti yako

external-assistant-professions-woman-diversity-flaticons-lineal-color-flat-icons-2

Chat Support

Hello . My name is Jane, your chat assistant!

Welcome to the chat ! How can I help you today?

Login or Sign up to chat with us.