Bajeti kwaajili ya Karakara za rangi ya zambarau{ za kuunga}

Kabla ya kuanza

Purple Passion

Ufahamu ni nguvu, tume kusanya utajiri wa habari kukusaidia kufanya maamuzi bora hata unapoanza kilimo chako! Tumia kiunganishi hapo chini kujifunza mengi kuhusu bidha ya karakara za rangi ya zambarau{ za kuunga}.

Ikiwa umefuata kanuni bora za kilimo, utapata mavuno mazuri katika mwaka wa 1 na hata bora zaidi katika mwaka wa 2 wa uzalishaji. Tarajia robo kilo ya matunda kwa kila mzabibu kila wiki siku ya mavuno ya kwanza.

Anzisha bajeti yako

external-assistant-professions-woman-diversity-flaticons-lineal-color-flat-icons-2

Chat Support

Hello . My name is Jane, your chat assistant!

Welcome to the chat ! How can I help you today?

Login or Sign up to chat with us.