Bajeti kwaajili ya Dhania
Kabla ya kuanza
Ufahamu ni nguvu, tume kusanya utajiri wa habari kukusaidia kufanya maamuzi bora hata unapoanza kilimo chako! Tumia kiunganishi hapo chini kujifunza mengi kuhusu bidha ya dhania.
Dhania inachukua wiki 6
kufika hatua ya kutoa majani. Kama unataka kuzalisha mbegu, utahitaji wiki sita
za ziada. Muda wa matukio hapo chini ni kwaajili ya hatua ya kuvuna majani.
Anzisha bajeti yako