Bajeti kwaajili ya Dhania

Kabla ya kuanza

Coriander

Ufahamu ni nguvu, tume kusanya utajiri wa habari kukusaidia kufanya maamuzi bora hata unapoanza kilimo chako! Tumia kiunganishi hapo chini kujifunza mengi kuhusu bidha ya dhania.

Dhania inachukua wiki 6 kufika hatua ya kutoa majani. Kama unataka kuzalisha mbegu, utahitaji wiki sita za ziada. Muda wa matukio hapo chini ni kwaajili ya hatua ya kuvuna majani.

Anzisha bajeti yako

external-assistant-professions-woman-diversity-flaticons-lineal-color-flat-icons-2

Chat Support

Hello . My name is Jane, your chat assistant!

Welcome to the chat ! How can I help you today?

Login or Sign up to chat with us.